top of page

INJILI KWANZA
Gospo Daily Tanzania


ALBUM YA AMANI YA PAUL CLEMENT.
Tuna furaha kubwa kukujulisha kwamba Album ya Amani ya Paul Clement .Ipo tayari sasa waweza kuipata kwa kupitia namari +255652375883....


Chomoza Ya Clouds Tv.
Ndugu Mpendwa Usikose Kipindi cha Chomoza kinachooneshwa kuanzia saa kumi nambili asubuhi hadi saa nne asubuhi ndani ya Clouds Tv Kila...


BIO(Beautiful Inside Out)
Mwanamke na binti hii special kwa ajili yako Beautiful Inside Out na Angel Benard.Ni leo na seesion inaendelea pale Arusha GOLDEN ROSE,...


AUDIO YA MARY DID YOU KNOW YA NEW JERUSALEM BROTHERS NA NEEMA SADOCK.
Leo Team Ya New Jerusalem Brothers wameachia wimbo wao uitwao MARY DID YOU KNOW ambao wamemshirikisha Neema Sadock Busee.Ikiwa Produced na...


Nipo Tayari Overnight Concert.
Tarehe saba mwezi wa saba mwaka huu ni Nipo Tayari Overnight concert iliyoandaliwa na Yvonne Fabian itakayofanyika pale Divine Grace...


KUNA NAMNA ALBUM.
Tarehe 23 Mwezi wa nne mwimbaji wa Muziki wa Injili Tanzania Ndugu Rogate Kalengo alizindua albu yake iitwayo KUNA NAMNA pale UHURU...
Mfahamu Angel Benard.
Wengi wanamfahamu Angel Benard kama mwimbaji wa kike wa nyimbo za injili nchini Tanzania.Ameonekana kuimba Modern New Gospel kwa muziki...


Karibu Gospel Daily Tanzania
Bwana Asifiwe Mpendwa karibu katika page ya Gospel Daily Tanzania.Yenye kukujuza habari za muziki wa Injili ikiwemo matamasha mbalimbali...
bottom of page