top of page

Chomoza Ya Clouds Tv.

  • Gospo Daily Tz
  • Jun 24, 2017
  • 1 min read

Ndugu Mpendwa Usikose Kipindi cha Chomoza kinachooneshwa kuanzia saa kumi nambili asubuhi hadi saa nne asubuhi ndani ya Clouds Tv Kila Jumapili.Ungana

na James Temu pamoja na Sam Sasali katika Kupeana neno moja la kutuweza kutuvusha na kufungua upeo wetu wa kufikiri mambo katika maisha yetu.Na kumsifu Mungu kwa kupitia Nyimbo mbalimbali za Injili.Usikose Usikose.Jiandae Kubarikiwa katika maisha yako.Barikiwa sana.


 
 
 

Comments


Follow Us
  • Instagram Social Icon
Recent Posts

Join our mailing list

Never miss an update

© 2023 by Glorify. Proudly created with Wix.com

bottom of page