Miaka 20 ya Kijitonyama Choir
- Gospo Daily Tz
- Jun 25, 2017
- 1 min read
Siku ya leo Kwaya Ya Kijitonyama inaadhimisha miaka 20 ya kuhudumu kama kwaya.Wameandaa event itakayofanyika pale K.K.K.T Kijitonyama,Dar-es-Salaam.Waimbaji watakaokuwepo ni pamoja na Christina Shusho na Rose Mhando.Hakauna kiingilio chochote....USIKOSE USIKOSE KUJUMUIKA KATIKA BWANA.
Comments