top of page

SAUTI AWARDS.

  • Gospo Daily Tz
  • Jun 24, 2017
  • 1 min read

Nakukumbusha tena kwa Mara Nyingine kuwapigia kura wasanii wetu wa Muziki wa Injili nchini Tanzania na Afrika Mashariki pia katika tuzo Za SAUTI AWARDS.

Nomination za Tuzo ziko kama ifuatavyo;

Fanikisha suala hili kwa kuwapiga kura Angel Benard, Christina Shusho,Paul Clement na Goodluck Gozbert kwa jinsi unavyoona kategoria zao hapo juu.Ili uweze kuvote ingia google kwa kuandika www.sautiawards.com

utaona sehemu imeandikwa vote now then piga kura kwa kubonyeza katika kitufecha jina la mshiriki umpendaye.Lakini unabidi ujaze taarifa zako kama barua pepe,namabari ya simu,sanduku lako la posta, mkoa na Nchi utokayo ii uweze kupiga kura.

Kwa Pamoja tunaweza,fikisha ujumbe huu kwa wengine pia, Nawe Utabarikiwa.


 
 
 

Comments


Follow Us
  • Instagram Social Icon
Recent Posts

Join our mailing list

Never miss an update

© 2023 by Glorify. Proudly created with Wix.com

bottom of page