Nuru Ya Injili
- Gospo Daily Tz
- Jun 25, 2017
- 1 min read
・・・ Kuna vitu vikubwa vizuri vinafanyika na tunavifumbia macho na vipo vingi vibaya tunavitukuza sana. Hiki ni miongoni mwa kipindi bora kabisa cha gospel Nuru Ya Injili katika chanell namba 120 @azamtvtz na presenter mahiri Ombeni Phiri ambacho huonyeshwa kila siku za jumapili kwanzia saa 6 mchana Africa Swahili TV.USIKOSE Marudio ni jumapili hiohio saa mbili kamili usiku.

Comments