BIO
- Gospo Daily Tz
- Jun 29, 2017
- 1 min read
Jumamosi Iliyopita Muimbaji Angel Benard aliifanikisha ile event ya BIO(Beautiful Inside Out) pale Golden Rose Arusha.Alifanikiwa kutimiliza lengo alilokuwa nalo.Kuongea na wanawake na mabinti pia.Na pia aliweza kufanya huduma ya maombi.Kuna watu waliofunguliwa na kubadilishwa mtazamo wao wa kiroho na kimwili pia kwa ujumbe ambao ndugu dada Angel Benard aliwapatia kwa ajili ya kuwahamasisha.Kulikuwa na huduma ya Kuxsifu na Kuabudu pia kwa mwanzoni ili kuanza na Mungu katika mambo yote waliyoyafanya.Hapo chini ni picha baadhi ya huuma hiyo ya BIO. Ubarikiwe sana Angel Benard.


Comments