Album ya Akutendee Nini.
- Gospo Daily Tz
- Jun 26, 2017
- 1 min read
Siku chache zilizopita Muimbaji wa Injili nchini Tanzania Christina Shusho alizindua album yake iitwayo ''Wataka Akutendee Nini.''Ambayo ndani yake kuna nyimbo kama Warandaranda Mbao,Kitu gani,U mwema Wakati Wote,Mavuno,Asante Yesu,Yote Alimaliza,na Roho.Kwa sasa iko madukani waweza jipatia nakala yako Original ya Album hii ya Akutendee Nini

Comments