Ni Bwana.
- Gospo Daily Tz
- Jun 26, 2017
- 1 min read
Ni Bwana.....Wimbo ulioimbwa na Goodluck Gozbert pamoja na Miriam Jackson.Sikiliza wimbo huu kwani Tunamwona Bwana kila siku Mishani Mwetu.Mambo tuliyokuwatunayashindwa leo tunayaweza, tumekutana nae,Mungu anayeweza. Nakupa wimbo huu kama Wimbo wa Leo.Ubarikiwe.
Comments