top of page

Sitobaki Kama Nilivyo

  • Gospo Daily Tz
  • Jun 24, 2017
  • 1 min read

Siku zote katika maisha tumekuwa tukipitia magumu mbalimbali amabayo yanaweza yakawa yametukatisha tamaa. Lakini unapokuwa na Tumaini kwa Mungu kwa roho na kweli hakika utabadilika,utaheshimiwa na kuonwa Mtu wa Maana kwani Mtetezi wetu yu hai siku zote.Ungana na Kaka Joel Lwaga katika wimbo wake mpya wa SITABAKI KAMA NILIVYO.


 
 
 

Comments


Follow Us
  • Instagram Social Icon
Recent Posts

Join our mailing list

Never miss an update

© 2023 by Glorify. Proudly created with Wix.com

bottom of page