BIO(Beautiful Inside Out)
- Gospo Daily Tz
- Jun 24, 2017
- 1 min read
Mwanamke na binti hii special kwa ajili yako Beautiful Inside Out na Angel Benard.Ni leo na seesion
inaendelea pale Arusha GOLDEN ROSE, MASAI HALL,ARUSHA.Kwa ajaili ya kuhmasishana kama watoto wa Mungu na kupeana moyo pa katika maisha.
Watakao hudumu ni pamoja na Judith Mbilinyi,Upendo Chavala,Powerful Praise na Wengine Wengi.

コメント