Karibu Gospel Daily Tanzania
- Gospo Daily Tz
- Jun 24, 2017
- 1 min read
Bwana Asifiwe Mpendwa karibu katika page ya Gospel Daily Tanzania.Yenye kukujuza habari za muziki wa Injili ikiwemo matamasha mbalimbali na event mbalimbali za muziki wa Injili.Kuendeleza muziki wa Injili kwa mataifa yote ili ujumbe wa Mungu Uweze kufikishwa mataifa yote.Kuwajua pia zaidi wanamuziki wa Injili na historia zao za kimaisha.Kupata mahubiri mbalimbali pia.Asante sana.KARIBU @gospeldailytanzania
Комментарии