top of page

KUNA NAMNA ALBUM.

  • Gospo Daily Tz
  • Jun 24, 2017
  • 1 min read

Tarehe 23 Mwezi wa nne mwimbaji wa Muziki wa Injili Tanzania Ndugu Rogate Kalengo alizindua albu yake iitwayo KUNA NAMNA pale UHURU MORAVIAN MSIMBAZI CENTER.Waweza jipatia copy yako ya CD kupitia nambari za simu +255716646235 au

+255752028713. Bado hujachelewa, tuungane mkono kumsuopport Kaka Rogate Kalengo kwa kununua album yake ya KUNA NAMNA.... Au waweza mfolow kupitia instagram @rogate_kalengo kwa maelezo zaidi.


 
 
 

Comments


Follow Us
  • Instagram Social Icon
Recent Posts

Join our mailing list

Never miss an update

© 2023 by Glorify. Proudly created with Wix.com

bottom of page